Sambaza....

Baada ya kurudi kwa mara ya pili Real Madrid baada ya kuiacha kwa miezi 10 kocha Zinedine Zidane ameanza kutema cheche baada ya kumsajili beki wa kati raia wa Brazil.

Eder Millitao Beki wa kati kutoka Porto fc ya Ureno ndio usajili wa kwanza kabisa wa Zidane baada ya kurejea Santiago Bernabeu.
Eder Millitao amesaini kandarasi ya miaka mitano itakayomuweka jijini Madrid mpaka mwaka 2025.

Sambaza....