Sambaza....

Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema timu yake ilicheza vizuri hasa katika kipindi cha pili, lakini kipindi cha kwanza wachezaji wake walikuwa wazito na walistahili kuadhibiwa.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera.

Yanga imeshindwa kwa mara nyingine kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Cup baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Kariobangi Sharks ya nchini Kenya.

Sambaza....