Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.
*Angalizo: Tutajaza tena majina rasmi baada ya bodi ya ligi kutoa majina ya mwisho, endelea kupitia hapa