Simba SC vs Young Africans SC
Klabu ya Simba inaongoza msimamo wa ligi, na….Stori zaidi.
Simba SC vs Tanzania Prisons
Simba anaingia uwanjani akiwa na uongozi wa ligi lakini pia akitaka kuongeza point Kati yake na Yanga.
Prisons ya Mbeya wamepania Kumaliza Ligi Wakiwa nafasi tano za juu. Hali ya mvua huenda Ikawa faida kwao.