Yanga SC vs Ndanda FC
Baada ya kupata sare tatu mfululizo na kuanza kufifisha matumaini ya kukamata nafasi ya pili Yanga wanakwenda kujiuliza mbele ya Ndanda fc mbele ya mashabiki wake uwanja wa Taifa.
Yanga SC vs Azam FC
Yanga na Azam wapo katika mchuano mkubwa wa kuwania nafasi ya pili katika msimamo wa VPL. Yanga katoka kupata sare dhidi ya JKT na Azam mchezo wa mwisho amepata ushindi mbele ya Mbao fc.
Simba SC vs Mwadui FC
Mwadui fc wapo katika hatihati ya kushuka daraja huku wakitoka kupoteza mchezo dhidi ya Yanga wanakwenda kukutana na Simba inayotafuta alama 13 tu ili kutangazwa mabingwa.
Mwadui f ndio timu ya kwanza msimu huu kuifunga Simba walipolitana katika mchezo wa raundi ya kwanza.
Simba SC vs Ruvu Shooting
Simba inataka kujihakikishia ubingwa mapema huku Ruvu Shooting wakiwa hawana uhakika wakisalia katika Ligi Kuu Bara kutokana na kua katika hatihati ya kucheza Playoff au kushuka kabisa.