Mwadui FC vs Yanga SC
Mwadui wakiwa chini ya msimamo wakitaka kujinasua lakini pia Yanga wanatafuta kuanza vyema baada ya kukosa ushindi michezo mitatu mfululizo.
Biashara FC vs Simba SC
Biashara kuisimamisha Simba leo? Fuatilia hapa mpira ukiaanza.