Sambaza....

Zilianza timu 32, zikafika 16, na hatimaye zimebaki 8 tu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa, unatabiri timu zipi zitafuzu hatua ya Nusu fainali? Meridianbet inakuhakikishia unapata Odds kubwa na machaguo Zaidi ya 1000+ Tembelea www.meridianbet.co.tz kubashiri soka na kucheza kasino ya mtandaoni.

Odds kubwa za Jumanne ya Mabingwa
Ni vita vya mbinu kati ya Mwanamitindo na Bishoo wa Kikatalunya Pep Guardiola akiliongoza jeshi lake la Man City, huku Luteni Jenerali Erling Haaland atasaidiana na Kapteni Kelvin De Bruyne kusaka ushindi dhidi ya Jeshi la Thomas Tuchel aliyekimbilia mafichoni Bayern Munich kwenye jiji la Munich nchini Ujerumani, huko kuna kijana mdogo tisho sana Kingsley Coman ni hatari wanapaswa kumchunga Zaidi. bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Ni mechi ya kwanza ya robo fainali UCL Lisbon itachafuka kwa shangwe au giza litatanda kwa kipigo? ni Benfica vs Inter Milan miamba kutoka Jiji na Milan Italia. Odds za ushindi ni 2.25 vs 3.33 Meridianbet CHAGUA TUKUPE iwe odds kubwa watakupa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubashara unaweza, michezo ya sloti kama Aviator, poker na Roulette yote unaipata kubwa Zaidi ukiona jamvi lako linataka kuchanika unaweza kucash out/Kuturbo.

Jumatano ya Mabingwa
Dimba la Giusepee Meazza litawaka moto ni vita ya wanaume 22, chini ya viongozi 2 ni Pioli Stefano na Spalletti Luciano. Ni AC Milan vs Napoli kila mmoja anataka kusonga mbele hatua ya nusu fainali utamu wa mechi hii imenogeshwa na odds kubwa za Meridianbet 2.74 vs 2.65 huku sare ina 3.14

Big Match Big day! katika dimba la Santiago Bernabeu ni Real Madrid vs Chelsea mara nyingi Chelsea huwa anafufukia kwenye timu kubwa lakini mabingwa hawa watetezi na mara nyingi Zaidi wa UCL linapokuja suala la Ligi ya Mabingwa huwa hawana jambo dogo, Mechi hii unaipa matokeo gani. Kama sio mpenzi wa kubashiri soka, Chagua tukupe michezo ya kasino ya mtandaoni yenye sloti pendwa kama Aviator, Poker na Roulette. Bashiri na Meridianbet.

NB: Meridianbet imekuja na Jackpoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Sambaza....