Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Ongezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
Kwa upande fulani, hizi tambo za mashabiki wa Simba, Yanga inawabidi tu wavumilie. Kwakuwa walitakiwa kufanya vizuri katika miaka yote waliyoshiriki.
Michuano hiyo itafanyika katika nchi ya Rwanda ambapo Yanga atakuwa kama timu mwalikwa kwenye michuano hiyo.
Msimu wa 2019/2020 ni msimu wa burudani tele kwa wapenzi wa Kandanda nchini, hizi taarifa umezipokeaje? Tupe maoni yako
Mavugo alishindwa Simba kwa sababu mashabiki walimpa presha kubwa. Presha ambayo alishindwa kuimudu.
Mshambuliaji huyo makini wa Ndanda, huenda alikuwa katika orodha ya majina ambayo Mwinyi Zahera aliacha wakati akiondoka kwenda kuungana na kikosi cha timu ya taifa ya Congo.
Mroki Mroki anataka kusajiliwa na Yanga kama mlinzi wa kulia ili akasaidiane na Paul Godfrey wakati huu ambapo Juma Abdul hajajulikana hatma yake
Klabu ya Yanga katika kujijenga, imeonyesha nia ya kumsajili Shikalo, ili kijijenga katika nafasi ya goli.
Huwezi kuingia na kuishi kwenye dunia hii kama hujaruhusu akili kufikiria kibiashara, macho kuona kibiashara na masikio kusikia kibiashara.
Maandalizi ya msimu ujao, kujihakikishia wanaleta upinzani mzito katika soka la Bongo