Mshambuliaji Yanga: Niliwaambia wasimsajili Yikpe.
Nilimwangalia akiwa Gor Mahia. Mimi ni mshambuliaji na ninajua sifa ya washambuliaji ambao Yanga wanapenda.
Nilimwangalia akiwa Gor Mahia. Mimi ni mshambuliaji na ninajua sifa ya washambuliaji ambao Yanga wanapenda.
Nahodha wa Simba sc Papaa John Raphael Bocco baada ya furaha ya kuifunga Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya FA TFF ni kama wameendelea kumnogeshea sherehe
Niseme tena Jana hukucheza vizuri Kocha yeyote asinge sita kukutoa ,hukutimiza wajibu ulicheza 4% ya 10 ulitaka uendelee tuu?
Simba inakwenda kukutana na Yanga kwa mara ya tatu msimu huu huku ikiwa imeambulia sare ya mabao mawili kwa mawili katika mchezo wa kwanza huku wapili wakifungwa bao moja bila lililofungwa na Benard Morisson.
Ni lazima kuifunga Simba nusu fainali. Yanga katika mchezo wa kesho watakua na machaguo matatu ambayo ni Ushindi, Ushindi, Ushindi.
kuibuka na kushindania ubingwa wa Ligi kama ambavyo aliwahi kufanya Leicester City katika EPL. Ni ngumu kutokea kwa maajabu kama haya, ni wazi sasa Simba ataendelea kutesa katika kutwaa ubingwa wa Bara.
Waswahili hutumia neno “Gundu” kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
Nyota wakubwa Barani Afrika kujiunga nao, kwa maaana mchezaji mkubwa anapenda kushiriki michuano mikubwa.
Endapo atapoteza mchezo tena dhidi ya Yanga huenda ikakoleza safari yake yakutimuliwa na Simba na kuache rekodi mbovu miongoni mwa makocha waliopita Simba mbele ya Yanga.
huku pia nahodha Papy Kabamba akiwa ametoka kupona majeraha ya goti hivyo hakuna uhakika wa asilimia 100 kama atakuepo katika mchezo huo.