Kanuni Ligi Kuu: UCHEZAJI WA KIUNGWANA
Mtandao wako wa kandanda.co.tz umekuwekea kanuni za Ligi….Stori zaidi.
Mtandao wako wa kandanda.co.tz umekuwekea kanuni za Ligi….Stori zaidi.
kuna mtawanyo wa magoli kwa wachezaji wengi kwenye maeneo tofauti ndani ya uwanja.
Uwepo wa mashabiki wa timu zetu kutawanyima uhuru mkubwa mashabiki wenyeji kufanya fitina nyingi
Vizuri! Jezi namba 6 ilichukuliwa tofauti sana kabla hajatambulishwa hivyo lazima miguu yake iwape watu kile ambacho walitarajia
Good Signing for Young Africans within this three years! Umri mdogo na kipaji kikubwa
Kuelekea safari hiyo Kamwe amewaita mashabiki na kuwataka kuungana nao ili kwenda kuweka historia mpya nchini Kigali Rwanda.
Mechi hiyo imepangwa kufanyika katika Uwanja wa King Fahd mjini Taif, Saudi Arabia, Septemba 15,
Ni kumuonea Pacome kumfananisha na mchezaji aina ya Chama, Pacome aliyejiunga Yanga Sc miezi miwili iliyopita
Muargentina huyo pia ameelezea hali ya kikosi chake lakini pia amelalamikia ratiba ya Yanga akisema wanacheza michezo inayofuatana
Sasa wababe hao wa nchi wanaotokea Kariakoo wanakwenda katika vibarua vinavyofwata