Nabi Nasraddine Ndani ya Kitabu cha Kumbukumbu Yanga!
Raoul Shungu na kikosi cha dhahabu hakuna wa kumsahau mitaa ya Jangwani . Aliifanya Yanga kuwa imara akiipa vikombe na heshima ukanda wa CECAFA.
Raoul Shungu na kikosi cha dhahabu hakuna wa kumsahau mitaa ya Jangwani . Aliifanya Yanga kuwa imara akiipa vikombe na heshima ukanda wa CECAFA.
Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Wananchi walistahili ubingwa huo na kutetea taji lao walilolichukua msimu uliomalizika kutokana na kiwango kizuri walichoanza nacho msimu huu licha ya kupoteza rekodi yao yakucheza bila kufungwa
Nabi amesema yeye ameandaa timu yakukutana na Marumo iliyofika nusu fainali na si timu inayofanya vibaya katika ligi ya nchini kwao.
Hao ndio Marumo Gallants fc timu inayo inataka kuandika historia mbele ya Yanga sc na Yanga sc wanataka kuandika historia kupitia wao
Stephane Aziz Ki amefanikiwa kufunga mabao matatu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Adhabu hiyo imekuja baada ya mchezo kusimama kwa takribani dakika 30 hivi kutokana na hali ya uwanja ilivyokua.
Mwongoza njia Nasrdin Nabi yeye ndie pekee alikuwa anajua ni njia gani anawapitisha japo ilikuwa na miba lakini mkapita salama kwa sare ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam
Katika misimu sita iliyopita ikiwa pamoja na mwaka huu, klabu ya Simba imejivunia zaidi ya alama 457.
Wananchi Yanga wanatafuta nafasi adhimu yakucheza fainali ya michuano ya Afrika hivyo ni Marumo Gallants pekee wamebaki kama kikwazo kwa Yanga kufikia ndoto yao.