Ndidi: Mtoto wa jeshi aliekataa amri ya baba!
Ndidi ana umri wa miaka 23, na bado yuko fiti hivyo ni hazina kwa timu yake ya Taifa Nigeria “Super Eagles” na klabu yake pia ni mchezaji muhimu kikosini.