Tunavyopambana Kuwazuia Kina Joti Wetu Katika Soka!
Tumeona na kushuhudia vilabu vikisaini mikataba mikubwa, mirefu na minono, hii ni ishara ya kukukua
Tumeona na kushuhudia vilabu vikisaini mikataba mikubwa, mirefu na minono, hii ni ishara ya kukukua
Michezo ya Ngao ya jamii huchezwa kwa kumaanisha kuukaribisha msimu mpya wa Ligi na hivyo ni wazi bodi ya ligi wapo mbioni kutoa ratiba ya Ligi
Kuna changamoto ya ligi hii kutozalisha wachezaji wengi wanaocheza katika ligi kubwa duniani hasa zile za bara Ulaya.
Hivyo bodi ya ligi na shirikisho watangaze dhabuni ili tupate wadhamini wa tuzo katika ligi yetu
Makubaliano hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City ukihudhuriwa na wadau mbalimbali wa soka pamoja na waandishi wa habari za michezo nchini.