Tony Rashid na Sabelo wapima uzito leo, kinawaka kesho Ubungo Plaza
Tony atapanda ulingoni katika pambano hilo kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa Afrika ABU ambao alishinda mwaka jana kufuatia kumchapa kwa pointi Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini.