Mtibwa waibwekea Singida United.
Kikosi cha timu ya soka ya Mtibwa Sugar….Stori zaidi.
Kikosi cha timu ya soka ya Mtibwa Sugar….Stori zaidi.
Afisa habari wa Mtibwa Sugar Thobias Kifaru Ligalambwike amesema msafara umeondoka ukiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo, ukizingatia mchezo uliopita waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC.
Mara nyingi tumezoea mtu unapofanya kazi basi utalipwa,….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imewashukuru watanzania….Stori zaidi.