Taifa Stars yenye nuru
Kocha mkuu wa Taifa Stars ametaja kikosi chake cha Tanzania na huu ni mtazamo wa Tigana Lukinja.
Kocha mkuu wa Taifa Stars ametaja kikosi chake cha Tanzania na huu ni mtazamo wa Tigana Lukinja.
Lakini Fei wa sasa amereje upya kwenye form yake nadhani ndio muda wa kuondoka sasa, kiufundi anachopaswa kufanya ni kuongeza uwezo wa kutafsiri mahitaji ya mchezo kutokana na muda na tukio.
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.
Kandanda likiwa kwake jua tayari mipango imeanza, kushoto, kulia, mbele, nyuma kote anakua ashatizama huku akili yake ikifanya kazi kwa wepesi.
Waingereza walitupiana sana lawama, wakaja na sababu kibao za kwanini wameshindwa kombe la dunia. Tazama hii..
Lipangile ” napendelea kucheza kama mshambuliaji, ndio “naenjoy”zaidi kandanda niwapo uwanjani.”
Baada ya kufanikiwa kuwaondosha Burundi katika hatua ya awali sasa Tanzania inasubiri upangwaji wa makundi ili kuweza kuanza safari ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar.
anaweza kucheza kama “Inverted Full back” Kwa maana timu inaposhambulia, Kessy hupanda na kuungana na kiungo wa ulinzi.
Mpaka sasa unajua kuwa Stars ya Ettiene imefunga magoli mawili tu katika dakika 90 katika mechi tano.
Kutakuwa na makundi 10, kundi letu litakuwa na timu nne, tutacheza mechi 6, tatu ugenini na tatu nyumbani. Mechi hizi zinahitaji mbinu za uwanjani na hata nje ya uwanja. Waokota mipira ni sehemu ya mashambulizi na ulinzi wa Stars.