Jinsi mwezi March ulivyowatega vigogo Simba na Yanga.
Baada ya vigogo hao kumaliza ratiba zao tarehe 18 na 19 ya mwezi wa tatu watapumzika na kuipisha timu ya Taifa ya Tanzania kucheza michezo yake ya kufuzu Afcon
Baada ya vigogo hao kumaliza ratiba zao tarehe 18 na 19 ya mwezi wa tatu watapumzika na kuipisha timu ya Taifa ya Tanzania kucheza michezo yake ya kufuzu Afcon
Walipofuzu kuingia makundi ya mashindano hayo, walinuna. Wao ni wakubwa wakajiona wameshuka chini. Wakashiriki hatua ya makundi na kuingia robo fainali bila shangwe
Nchi inahitaji kuwa na falsafa yake kuhusu masuala husika, makala hii iliyoshiba inaelezea namna gani tunahitaji falsafa yetu kama nchi.
Dismas Kelvin John, Ben Stakie, Haji Mnoga na wengineo wakibadilishana uzoefu na nahodha Mbwana Samatta pamoja na Simon Msuva naamini hatuwezi kupoteza point zote 3.
Mchezo utakua mzuri tunacheza na timu ngumu lakini pia nasisi ni washindani hivyo haitakua rahisi na hautakua mchezo mwepesi.
Kesho twendeni uwanjani tukashangilie timu yetu, hata kama itatokea bahati mbaya tumefungwa itakua ni sehemu ya mchezo maana wakati mwingine mpira una matokeo ya kikatili.
Uteuzi wa wachezaji walioanza ulikuwa mzuri sana kwa akili na maarifa ya mbinu za ulinzi zaidi (defensive mentality)kama Himid Mao.
Mimi naamini kwa timu yetu nzima naamini kwa uzoefu wa nahodha wetu Mbwana Samatta na wenzake wengi wanaocheza ndani na nje ya nchi.
kwa upande wa John Bocco yeye ameendelea kukosekana na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwenzake wa Simba Kibu Denis.
Niacheni nionekane muoga tu lakini akili yangu inampitisha moja kwa moja Algeria kuchukua nafasi moja wapo kati ya hizo mbili.