Jinsi Singida Fountaine Gate Walivyoturudisha Getto!
Timu inaandaliwa na mwalimu, inapangwa na mwalimu, mwisho wa siku ni mwalimu anayewajibika mambo yakienda kombo.
Timu inaandaliwa na mwalimu, inapangwa na mwalimu, mwisho wa siku ni mwalimu anayewajibika mambo yakienda kombo.
Sasa kocha huyo Mjerumani ana kibarua chakuwavusha Singida katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Shirikisho Afrika
Ilikuwa ni ngumu sana kuzungumza ubora wa Singida FG pasipo kutaja Jina la Bruno Gomes
Ni uvumilivu wa Gamondi ama jeuri ya Robertinho? Ni mizimu ya Maradona ama malaika wa Pele?
Katika michezo miwili waliyokutana msimu uliopita wawili hao Simba alipata ushindi nyumbani na sare ugenini dhidi ya walima alizeti hao.
Kama Wananchi watapa matokea ya ushindi katika mchezo huo utakaopigwa Jumatano usiku basi watakwenda fainali
Hii ni kubwa sana na itazidi kuwa kubwa zaidi kama wataendelea kufanya hiki ambacho wanafanya ndani ya klabu yao
Michezo ya Ngao ya jamii huchezwa kwa kumaanisha kuukaribisha msimu mpya wa Ligi na hivyo ni wazi bodi ya ligi wapo mbioni kutoa ratiba ya Ligi
wachezaji kama akina Djuma Shabaan ambaye anatajwa anaweza kuondoka wakati wowote bado unaona Kibabage ana kazi kubwa ya kufanya
Nasraddine Nabi anatarajiwa kutangazwa wiki hii na Kazier Chiefs baada ya kukubaliana katika idadi ya watu anaotaka kwenda nao Chiefs,