Hakuna namna ni kupambana nao tuu!
Ila ukweli utabaki kuwa hakuna muda uliowahi kutosha kwenye soka ni vyema tukaanza kupambana kwa maandalizi ya kisayansi.
Ila ukweli utabaki kuwa hakuna muda uliowahi kutosha kwenye soka ni vyema tukaanza kupambana kwa maandalizi ya kisayansi.
Binafsi nami nastahili pongezi zangu kwa kugundua vipaji vya mabinti wawili waliomo kwenye kikosi hichi kilichoweka historia ya nchi.
Hii ni kwa mara ya kwanza Tanzania inafanikiwa kupata ushindi na kufuzu katika michuano ya kombe la Dunia katika mchezo wa soka.