TFF ipo “busy” haitaki mchezo na timu za Taifa.
Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF mwaka huu ni kama mwaka wao kutokana na ratiba ya CAF na FIFA kuwabana haswa.
Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF mwaka huu ni kama mwaka wao kutokana na ratiba ya CAF na FIFA kuwabana haswa.
Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya michuano ya….Stori zaidi.
Timu hizo zimegawanyika katika makundi mawili yaani kundi A na B. Ambapo washindi wawili (wa kwanza na wapili) kila kundi watapata nafasi ya kufuzu nusu fainali.
Shirikisho la soka nchini Rwanda (FERWAFA) limethibitisha kuialika….Stori zaidi.
Kikosi cha timu ya Vijana chini ya Umri….Stori zaidi.
Michuano hii itakua na manufaa makubwa kwa Serengeti boys na pia chachu ya wao kujiandaa na michuano ya Afcon wakiwa wenyeji
Shirikisho la soka nchini ‘TFF’ limendesha kliniki ya….Stori zaidi.
Kocha wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) Oscar Mirambo ameushukuru Uongozi wa vyama vya soka ukanda wa Kusini kwa Afrika (COSAFA) kwa kuwaalika kushiriki mashindano ya Vijana ambayo Leo yanaingia hatua ya nusu fainali.
Kocha wa timu ya vijana chini ya umri….Stori zaidi.
Nyota wa timu ya Taifa ya Vijana chini….Stori zaidi.