Jionee Rais wa FECAFOOT akifanya mazoezi na timu ya Taifa.
Hizi ni baadhi ya picha, wanasema ukikiongoza kitu lazima ukijue, na ndio maana kuna watu waliwahi kusema wakati wa uchaguzi mkuu wa TFF ‘Turudishieni Mpira wetu’.