Simba na Adebayor Wanavyotoa Somo la Usajili
Kwa sasa sidhani kama Simba inamuhitaji sana Victorian Adebayor kama ambavyo yeye anaihitaji, ndio maisha
Kwa sasa sidhani kama Simba inamuhitaji sana Victorian Adebayor kama ambavyo yeye anaihitaji, ndio maisha
Wawili hao Clatous Chama na Luis Miquissone waliondoka kwa pamoja mwaka 2022 ambapo walielekea RS Berkane na Al Ahly lakini sasa wawili hao wote wamerejea Simba