Yanga kamili kufuzu robo fainali.
Mchezo wa mwisho wa kundi hilo Yanga watamalizia ugenini Congo dhidi ya Mazembe hivyo ni vyema leo wakamalizana na Monastir wakiwa nyumbani Kwa Mkapa na kufuzu robo fainali.
Mchezo wa mwisho wa kundi hilo Yanga watamalizia ugenini Congo dhidi ya Mazembe hivyo ni vyema leo wakamalizana na Monastir wakiwa nyumbani Kwa Mkapa na kufuzu robo fainali.
Yanga watajilaumu wenyewe kwa kukosa ushindi mnene kwani Yanick Bangala alikosa mkwaju wa penati na hivyo kuinyima Yanga bao la tatu
Na tayari muitikio mkubwa umeonekana huku baadhi ya mashirika na watu binafsi wakinunua tiketi 100 mpaka 300 kwa wakati mmoja ilo zigawiwe kwa wanawake wataokwenda katika mchezo huo.
Yanga wanahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi yakufuzu robo fainali kwani kusuasua kwa Mazembe kumezidi kuwapa nafasi katika kundi hilo ambalo US Monastir anaonekana ndio mbabe
Baada ya mchezo huo sasa Yanga inafikisha alama nne nakuendelea kukaa katika nafasi yake yapili nyuma ya US Monastir wenye alama saba.
Kwa hesabu zozote zile leo Yanga hawapaswi kupoteza mchezo kama itashindikana alama tatu basi angalau wapate alama moja ili kuendelea kuweka hai matumaini yao ya kufuzu robo fainalo