Jinsi Straika wa Yanga Anavyoleta Utata wa Usajili Huko Sauzi
itawalizimu chama cha soka Afrika Kusini SAFA na uongozi wa PSL kuliamua jambo hili mezani.
itawalizimu chama cha soka Afrika Kusini SAFA na uongozi wa PSL kuliamua jambo hili mezani.
Gallants wamethibitisha wachezaji walioachana na timu hiyo, miongoni mwao ni mwenye umri wa miaka 30 ambaye anatajwa kutambulishwa na Glamour Boys.
Lengo kuu ni katika sehemu ya mpira wa miguu. Tunahitaji mchezaji ambaye anaweza kutupa matokeo uwanjani, pili, pia ni ushirikiano wa mashabiki ili kuunda PR nzuri kwa klabu nje ya nchi,”
Nitamwachia wakala wangu hilo. Kwa sasa, nataka kwenda nyumbani, na kuwa na mke wangu na binti yangu. Kuhusu ni wapi nitacheza msimu ujao,