Wataweza Kwelii!?
Simba akiwa katika uwanja wa nyumbani huwa tofauti sana kwani timu vigogo wa Afrika walipigika
Simba akiwa katika uwanja wa nyumbani huwa tofauti sana kwani timu vigogo wa Afrika walipigika
Katika mchezo huo ilishuhudia mshambuliaji wa Simba Jean Baleke akikosa mabao matatu
Uwepo wa mashabiki wa timu zetu kutawanyima uhuru mkubwa mashabiki wenyeji kufanya fitina nyingi
Chanzo kutoka Kenya kinataarifu juu ya kambi hiyo ambayo itakua sio chini ya siku tano
Amezungumzia hali ya wachezaji majeruhi Aubin Kramo na Henock Inonga.
Sasa wababe hao wa nchi wanaotokea Kariakoo wanakwenda katika vibarua vinavyofwata
Ama kwa hakika mashabiki wa Lunyasi wamewaona wachezaji wao wapya waliokua na kiu ya kuwatazama baada ya kusajiliwa na klabu yao.
Aidha pia msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametaja tarehe rasmi watakayozindua wiki ya Simba pamoja na kutaja timu watakayocheza nayo kutoka Zambia.