Pitso Mosimane Ampitisha Kocha Yanga!
Anajua aina hiyo ya stresi kwa hiyo angeweza kushughulikia presha na stresi vizuri.
Anajua aina hiyo ya stresi kwa hiyo angeweza kushughulikia presha na stresi vizuri.
Shangwe la ubingwa si tu limeigusa Dar es salaam lakini pia Afrika nzima ilipata habari na ilitikisika.
Miongoni mwa timu zinazoonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kutinga fainali ni Wydad Casablanca na Al-Ahly.