Coastal Union yamuuza mshambuliaji wake Ulaya!
Timu hiyo imekua na rekodi nzuri katika Ligi ya kwao huku msimu ikishiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Timu hiyo ilikua kundi B pamoja na vigogo Bayern Munich na Totenham Hotspurs.