Simba Yachota Mamilioni Mengine ya Jezi
“Sisi tunakuwa wa kwanza kwenye matukio makubwa na matukio muhimu na leo inakwenda kuwa hivyo
“Sisi tunakuwa wa kwanza kwenye matukio makubwa na matukio muhimu na leo inakwenda kuwa hivyo
Mwaka jana tulitumia kampuni ya kutoka Afrika Kusini lakini walituangusha sana. Nakiri makosa kama mwenyekiti.
Sasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.