Gamondi Alivyotibu Tatizo Lililomshinda Nabi na Wenzake
kuna mtawanyo wa magoli kwa wachezaji wengi kwenye maeneo tofauti ndani ya uwanja.
kuna mtawanyo wa magoli kwa wachezaji wengi kwenye maeneo tofauti ndani ya uwanja.
Muargentina huyo pia ameelezea hali ya kikosi chake lakini pia amelalamikia ratiba ya Yanga akisema wanacheza michezo inayofuatana
Tunapaswa kujiandaa kama timu kubwa ili kupata matokeo chanya katika kila mechi.
Ni mchezo muhimu na wakuanza kuandika historia kwa Yanga.
Gamondi aliyeiongoza Yanga katika michezo miwili dhidi ya Kaizer Chiefs na Azam Fc
Miguel Gamondi amebeba siri nzito, Gamondi amebeba ndoto za kutisha za Wananchi, Gamond anakibarua kizito cha kutafsiri ndoto hizo za kuogofya.
Gamondi atapata kipimo halisi kutoka kwa Amakhosi ambao nao wamepania kufanya vyema msimu ujao baada ya kumaliza nje ya nne bora msimu uliomalizika.
Mara ya mwisho Migeul alionekana na klabu ya Ittihad Tanger kabla ya kuachana nayo April mwaka jana na sasa amejiunga na Wananchi