Hii Galacha wa mabao wa kandanda ni nini?
Tovuti ya kandanda husheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi katika Ligi Kuu kila mwezi.
Tovuti ya kandanda husheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi katika Ligi Kuu kila mwezi.
Alliance wanashuka dimbani jumapili hii kucheza na Mbeya City kwenye uwanja wa Nyamagana wakitoka kupata alama moja dhidi ya Tanzania Prisons baada ya sare ya bao 1-1
Mshambuliaji wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, yupo safarini muda huu kuelekea Misri kwaajili ya majaribio karika klabu ya El Gouna SC inayoshiriko Ligi Kuu nchini humo.
Mchezaji huyo mwenye mabao 11 katika Ligi Kuu Bara anatarajiwa kuondoka.
Kocha wa timu ya soka ya Mbeya City ‘Wanakomakumwanya’ Ramadhan Nswanzurimo amesema hatoangalia rekodi ama michezo iliyopita watakapokwenda kucheza na Yanga siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Afisa Habari wa klabu ya soka ya Yanga Dismas Ten amesema maandalizi kuelekea katika mchezo wao wa Ligi dhidi ya Mbeya City yanaendelea vizuri na kwamba Kati ya wachezaji 20 ambao wamesafiri na timu hakuna ambaye anamajeraha yatakayomuweka nje ya mchezo huo.
Mshambuliaji wa timu ya Kandanda ya Mbeya City….Stori zaidi.
Tovuti ya kandanda imeendelea kuwapongeza wachezaji wa Ligi….Stori zaidi.
Wachezaji 20 na viongozi 13 wa klabu ya….Stori zaidi.
Timu ya soka ya Alliance imeendelea na maandalizi….Stori zaidi.