Kariakoo Dabi Inavyogonga Afrika Nzima.
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
Kumekuwa na uwiano sawa katika idara zote kiwanjani kuanzia idara ya ulinzi, kiungo na ushambuliaji.
kuna mtawanyo wa magoli kwa wachezaji wengi kwenye maeneo tofauti ndani ya uwanja.
Ataonekana pia kwenye eneo la mwisho kwenye kitu cha muhimu zaidi kwenye soka ambacho ni kutupia kambani