Twende kwa Madiba Tukamsalimie Shakazulu
We can’t fear Marrumo twendenii tukamuue palepale kwa Madiba, twende fainali tubebe ndoto kisha turudi Avic town kuendelea kula Ugali na Sukari.
We can’t fear Marrumo twendenii tukamuue palepale kwa Madiba, twende fainali tubebe ndoto kisha turudi Avic town kuendelea kula Ugali na Sukari.
Nabi amesema yeye ameandaa timu yakukutana na Marumo iliyofika nusu fainali na si timu inayofanya vibaya katika ligi ya nchini kwao.
Hao ndio Marumo Gallants fc timu inayo inataka kuandika historia mbele ya Yanga sc na Yanga sc wanataka kuandika historia kupitia wao
Wananchi Yanga wanatafuta nafasi adhimu yakucheza fainali ya michuano ya Afrika hivyo ni Marumo Gallants pekee wamebaki kama kikwazo kwa Yanga kufikia ndoto yao.
Kuelekea mchezo huo Alli Kamwe ametangaza viingilio vitakavyotumika pamoja na muda wa mchezo utakaochezwa huku ukitoka kuchezeka usiku na sasa utapigwa jioni.
Injinia Hersi Said amesema wanajua umuhimu wa Morrison hivyo wapo tayari kufanya lolote linalowezekana ili wapate huduma yao Morrison wakiwa ugenini nchini Afrika Kusini