Manchester United waanza mazungumzo ya kumuuza Fellaini.
Toka mwaka aliosajiliwa yaani 2013, Fellaini amekuwa si chaguo la mashabiki wa Manchester United licha ya makocha wote watatu David Moyes, Louis Van Gaal na Jose Mourihno wakimtumia katika mechi muhimu