Assensio “out” wiki nne, kuzikosa mechi hizi hapa.
Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwepo nje kwa takribani wiki nne, sawa na mwezi mmoja kwa mshambuliaji wake, Mhispaniola Marcos Asensio.