Zlatan: Makombe yanamuogopa Mourinho
Yeye ni aina ya Meneja ambaye haogopi chochote. Yeye ni kama Zlatan. Haogopi bosi wa Klabu, Wacheza, Wanahabari. Kitu pekee anachokuwa akiogopa ni
Yeye ni aina ya Meneja ambaye haogopi chochote. Yeye ni kama Zlatan. Haogopi bosi wa Klabu, Wacheza, Wanahabari. Kitu pekee anachokuwa akiogopa ni
Mkishampa Rashford huo u’daktari wa heshima, basi Mpeni na Bruno Uganga wa heshima.
“Unaweza kusema kwamba timu imebadilika sana. Tunacheza kama timu kuliko vile tulivyofanya hapo awali
, kama alipata kumuona labda kuna vitu alicopy kwake, kwa kile nilichokiona kwake jana akili yangu ilihama na kudhani Scholes amerejea kucheza soka.
Vile ambavyo mashabiki wa United wanamuona Martial kama mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu na hajafika wanapotaka ndivyo ambavyo Ibrahim Ajib
Stam pia hakusita kutamani kuona muunganiko wa Pogba, Mac Tominay na Bruno katika eneo la kati la United.
Katika ubabe wa Ole kwa Pep ni kwa kiasi kikubwa Martial ndio silaha kubwa ya Ole na kuweza kuufanya mji wa Manchester kua ni mwekundu na sio bluu.
Mpaka sasa Kroose anaitumikia Real Madrid chini ya Zinedine Zidane huku akiwa mchezaji alieshinda vikombe vyote kwa ngazi ya klabu na timu ya Taifa.
Ushindi wa kwanza wa Nigel Pearson kama kocha….Stori zaidi.
Matumaini yao makubwa yalikuwa kumuona Sanchez akifanya vizuri ndani ya jezi hiyo lakini kwa bahati mbaya hakufanya vizuri.