Simba Yapewa Tarehe ya Michuano Mipya Afrika.
Tayari kikosi cha Simba kimeshaanza maandalizi ya kushiriki michuano hiyo huku wakiwa tayari wanajinasibu wameanza usajili mzito kuelelea mashindano hayo.
Tayari kikosi cha Simba kimeshaanza maandalizi ya kushiriki michuano hiyo huku wakiwa tayari wanajinasibu wameanza usajili mzito kuelelea mashindano hayo.
The Brazilians walitolewa nusu fainali na Wydad Casablanca kwa sare ya kusikitisha wakiwa katika uwanja wa nyumbani katika mchezo wa pili.
Tangu ilipochukua ubingwa mwaka 2018 bado haijawa tena tishio sana na kama Simba watakwenda Tunisia kucheza nao robo fainali itakua ni mara yao ya kwanza kwa miaka ya hivi karibuni
Simba itampasa kuchanga vyema karata zake katika mchezo wa kwanza kama kweli wanataka kwenda nusu fainali kwani wataanzia nyumbani mchezo wa kwanza na kumalizia ugenini mchezo wa mwisho.
Sio bahati walijipanga, ni kwasababu bajeti yao wakati msimu unaanza ilikuwa ni shilingi bilioni 23.1
Habibu Kyombo alifuzu majaribio na pia alifanyiwa vipimo vya afya.