Kariakoo Dabi Inavyogonga Afrika Nzima.
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
Uwepo wa uwekezaji mkubwa katika Ligi yetu umewavutia wachezaji wao ambao wapo nchini lakini pia sababu za kifedha
Vizuri! Jezi namba 6 ilichukuliwa tofauti sana kabla hajatambulishwa hivyo lazima miguu yake iwape watu kile ambacho walitarajia
Tayari klabu ya Yanga imeshatambulisha wachezaji wao wapya pamoja na jezi mpya lakini hii bado haiondoi shauku kwa mashabiki
Hata hivyo imefahamika Yanga walimkosa mchezaji wake chaguo la kwanza Ranga Chivaviro, ambaye Kaizer Chiefs ilimnyakua