Kumbee!.. Bila huyu jamaa, Ronaldo tusingemjua..
“Katika mechi hiyo tuiliibuka na ushindi wa goli 3-0, nilifunga goli la kwanza, na rafiki yangu Albert alifunga la pili, na goli la tatu ndilo goli lililowashangaza wengi, na mimi nikiwa ni miongoni mwao..”