Rashord na Mbappe ndio wachezaji bora Duniani!
Mshambuliaji wa zamani wa PSG, Fulham na Manchester United Luis Saha amewataja wachezaji wake bora duniani kwasasa akiwataja nyota wawili kutoka Ufaransa na Uingereza.