Saa02Asb: Alama Nyingi Bila Ubingwa!
walikusanya alama 97 lakini hawakua mabingwa
walikusanya alama 97 lakini hawakua mabingwa
Kwasasa Liverpool toka 2018 yupo katika kiwango bora na kilele chake wakati Manchester United wao bado wanajitafuta
Je Wajua? Hat-Trick ya Kwanza ya Haraka Zaidi.
Hawachelewa kufika kwenye Prime. Wanatakiwa kuwa na UAMINIFU pamoja na UVUMILIVU ili wafike kwenye matamanio yao
Hapa Liverpool ndipo walipoingia kwenye mtego kwa kuzidiwa idadi ya viungo badala ya kuwa 3v3 inakuwa 4v3 ndipo game ilipohamia kwao hasa mpango wa kwanza
Realmadrid ndiye timu pekee yenye mafanikio kwenye michuano hii ikiwa imechukua makombe 13 ikifuatiwa na AC Milan yenye makombe 7.
Gaucho mshindi wa Ballon’dor pia hakusita kutoa ushauri wa wapi anadhani Mo Salah anatakiwa kwenda huku akisisitiza furaha ni muhimu kwake katika mchezo wa soka.
Sababu kubwa ya msingi kwa Spurs kuonekana ni’ mfalme’ katika mechi 8 zilizobaki kwa pande zote mbili ni ubora wao miongoni mwa timu bora
mabao 13 kati ya Mane yametoka katika hatua ya mtoano, ambayo ni zaidi ya Lionel Messi tangu kuanza kwa msimu wa 2017-18.
Swali linakuja, Je Liverpool wataweza kuendelea kutesa timu nyingine kwa mfumo huu huu ndani ya mwaka wa nne sasa. Soma tupe maoni yako.