Nyota Yanga anavyowakimbiza Afrika nzima
Kufanya vyema kwa nyota hao wa Yanga kunawafanya Wananchi kushika nafasi ya tatu katika timu zenye mabao mengi katika michuano hiyo.
Kufanya vyema kwa nyota hao wa Yanga kunawafanya Wananchi kushika nafasi ya tatu katika timu zenye mabao mengi katika michuano hiyo.
Yanga si tu walipata ushindi lakini pia walicheza vyema katika dakika zote 90 na kuwadhibiti kabisa Monastir ambao hawakupata hata nafasi yakupiga shuti lililolenga lango.
Pia katika kikosi hicho amejumuishwa kiungo wa Simba Clatous Chama na pia kiungo wa Amazulu Rally Bwalya aliyekua mchezaji wa zamani wa Simba.
Akizungumzia tuzo hiyo msemaji wa klabu ya Yanga wamesema wanafurahia kwa alichofanya Musonda lakini pia watafanya kazi kubwa kumzuia maana tayari amejiweka sokoni.
Licha ya Geita Gold kutangulia kufunga lakini Yanga walitulia na kurudi kwa kasi kipindi cha pili, walirudisha bao hilo na kuongeza mengine na kupata ushindi mnono.