Liverpool bingwa msimu huu
Liverpool inafukuzana kwa karibu na Manchester City katika kinyang’anyiro hicho ambacho kimebakiza mechi chache sana.
Liverpool inafukuzana kwa karibu na Manchester City katika kinyang’anyiro hicho ambacho kimebakiza mechi chache sana.
Mpambano ni mkali kwa jinsi ligi inakoelekea, Simba kajiimarisha ndani na nje, Yanga wafanye nini?
Kipi kinatakiwa kufanyika kabla ya kwenda Misri kwaajili ya michuano hii…
Je wewe kwa mtazamo wako, unadhani Simon Msuva sasa ni muda mwafaka wa kusogea ng’ambo zaidi?