Mkude tayari kuifwata Yanga!
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa
Wachezaji wawili nyota wa Simba na Yanga leo wamepokea hukumu zao kutoka Shirikisho la soka nchini TFF kutoka katika kamati ya nidhamu.
Kwa mujibu wa daktari, Mkude hakuwa amepata jeraha kubwa kama ilivyodhaniwa na wengi na atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili ili kupona kabisa.
Kiungo wa Simba anayecheza eneo la kiungo cha….Stori zaidi.
Baada ya Jonas Mkude kuumia na kutoka nje nafasi yake ilichukuliwa na Ibrahim Ajib Migomba.
Ukikanyaga kwenye jukwaa la uwanja wa Taifa kutazama….Stori zaidi.
Kumekuwa na taarifa nyingi sana ambazo kuhusu….Stori zaidi.
Twende sawa, niambie maoni yako ni yepi, Je unakubaliana na mimi kuwa Kagere na Mzamiru ndio wachezaji wakutumainiwa zaidi ndani ya Msimbazi?
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Tumekuwa tukitamani sana kuwaona Ibrahim Ajib na Jonas Mkude wakifanikiwa kwenye mpira wa miguu lakini wao hawaoni kama wanatakiwa kufanikiwa.