Simba Day Unyama Mwingi, Kucheza na Mabingwa wa Zambia
Aidha pia msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally ametaja tarehe rasmi watakayozindua wiki ya Simba pamoja na kutaja timu watakayocheza nayo kutoka Zambia.