Mgunda Aizungumzia Sare ya Namungo, Kipa Wake Atwaa Tuzo.
Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.