Azam Fc: Kwa Bongo ni Feisal Salum Pekee.
Ibwe pia aliiambia Kandanda.co.tz jezi namba 10 ya Azam Fc msimu ujao itavaliwa na chuma cha kuotea mbali waachane na wakata umeme sijui jezi namba sita kama inavyosemwa na watu wa Kariakoo.

kubwa zaidi ni tiketi 100 kutoka kwa muunganilo wa Online Media Fc timu hii ya mpira wa miguu ambayo inahusisha wafanyakazi wa media zote za online nchi hii.