Karibu nyumbani kwangu Formula One.
Novemba 4, 1961 kwa mara ya kwanza watu walishuhudia mbio za kwanza za magari Kyalami, circuit hii inaurefu wa kilometa 4,104 inakumbukwa sana kutokana na bara bara zilizonyooka