Simba: Kwa Usajili Huu Tunaungana na Klabu Kubwa Duniani
Kwenye mpira wa kisasa skauti ni mtu muhimu sana, vilabu vikubwa vyote duniani wanamiliki skauti na sisi tumeamua kuungana na wakubwa wenzetu.