Kama ni asilimia, wachezaji wa Simba ningewapa hivi….
Amepiga “successful tackle” moja, alitumika kama winga wa kushoto. Pale alipopata nafasi ya kushambulia, alifanya hivyo na alileta madhara, ndio maana ya goli lake. Anastahili kupata alama alizo zipata