Kocha Simba Apata Timu Mpya, Azam Fc Kutimkia Tunisia
Nasraddine Nabi anatarajiwa kutangazwa wiki hii na Kazier Chiefs baada ya kukubaliana katika idadi ya watu anaotaka kwenda nao Chiefs,
Nasraddine Nabi anatarajiwa kutangazwa wiki hii na Kazier Chiefs baada ya kukubaliana katika idadi ya watu anaotaka kwenda nao Chiefs,
Nimeshafanya vyakutosha, naamini huu ndio mwisho wazungumo wangu kuwepo hapa. Huwa naamini katika mzunguko. Kazi yangu imeshafanyika hapa
Katika hatua nyingine pia Cedrik Kaze amesema timu yake ina wachezaji bora na wakubwa na ndio maana wao ni bora. Kaze amezungumza kwamba wachezaji wakubwa ndio huamua mechi kubwa na kuipa timu makombe.
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati….Stori zaidi.
Kwa ushidi huo sasa Yanga inaongoza kundi lake mbele ya US Monastir ya Tunisia huku ikiwaacha Real Bamako na TP Mazembe ikitolewa katika mashindano hayo.
Nae nyota wa Yanga aliyehusika katika magoli mengi zaidi katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Kenedy Musonda amesema wanajua malengo yao wao kama wachezaji
Unadhani kuna mpango wa pamoja toka kwa benchi la ufundi na wachezaji labda wakiwemo na viongozi wa kumwandaa na kumtengenezea Mayele.
Simba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.
Hii ni mechi special na ndio maana kila kitu ni special kuelekea mchezo huu.
Kesho tunaenda kutafuta point 3 hatuendi kutafuta “unbeaten”. Tunakwenda kulinda malengo yetu tuliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu.”